Here’s a random poem by David Kiriinya; or it could be spoken word

Tukiwika Bwana asifiwe
Pasta anauliza nini apatiwe
Kuwalisha kondoo wa God kila day
Yet unamget akikata maji Monday
Maombi siku hizi inakam na levels
Ukidai ya kawa, sawa
Exclusive ni hadi kwa hoteli, kama Ipad kukutouch
Akiinvite God kwa your soul kukusearch
Ni mkono wa Bwana

Forgive me , sina shamba la kupanda mbegu
Maybe shamba la Wanyama, yule boiz wangu wa Kakamega
Inaseem mathao, masoo na macoin zote ni zenu
Ukijaribu kumKanya, reason anazo kibao
Uaachwa msoto kwa maThree, ten bob hauna
Kalesa ndo means of transport kuzidi mtaani
Mlangoni afisa kama sita,”tujenge kijana”
Swali ni nitajenga nchi na niwajenge?

Natry sana kuwa closer to God
But inakaa devil anawin hii battle kila time
Ni nchi ya maparadox ,maprobox na maprados
IEBC haiwezi kutrace form zao za election
Yet ma employee wao wanatoa form kila Furahiday
Tunalia Kenya Power blackout kila day
But najua hawawezi kunizimia light at the end of the tunnel
Ju future yangu ni bright
Situmii energy saver

Advertisements

One thought on “Here’s a random poem by David Kiriinya; or it could be spoken word

comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s